Jeremiah 8:8


8 a“ ‘Mwawezaje kusema, “Sisi tuna busara
kwa sababu tunayo sheria ya Bwana,”
wakati ambapo kwa hakika kalamu ya uongo ya waandishi
imeandika kwa udanganyifu?
Copyright information for SwhKC